Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba 3, 2015

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

Higher Education Students' Loans Board cappadocia tours MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016 Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia ukurasa wa maombi kwa njia ya mtandao olas.heslb.go.tz Kwa msingi huo, tunakanusha taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu haitatoa mikopo kwa wanafunzi wanaojiunga na wanaoendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Mwisho