NSANA COMPUTING ZONE     “ Discovering your Potentialities ”         P.O.BOX 2637,MWANZA, PHONE:+255(0) 785 64 51 77   E-mail : nsanacz@gmail.com, Blog:www.nsanacz.blogspot.com   OUR SERVICES AND PRODUCTS   ·   Internet & E-mail   ·   Printing (Colour & Black and White)   ·   Photocopy   ·   Training (Computer Courses)   ·   Project design and Monitoring   ·    Building and Developing Skills   ·   Online course registration for Colleges and Universities   ·   Stationeries   ·   Scanning   ·   Sending and receiving documents by Electronic means        Located at Stand ya Kwanza –Kisesa   NSANA COMPUTING ZONE   “ Discovering your Potentialities”            
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 24, 2015
- Pata kiungo
 - X
 - Barua pepe
 - Programu Nyingine
 
           SOMO.NGUVU YA MAONO KATIKA MAISHA YA MKRISTO   NA:AYOUB JL    UTANGULIZI.   Tangu mwanzo Mungu aliwekeza raslimali nyingi za thamani ndani ya  mwanadamu kama vile Ufahamu,Ujuzi,ubunifu,Ugunduzi,busara,vipaji  mbalimbali,mamlaka,uhai,chanzo cha Baraka.Mwanzo 1:26-30,2:7.  Mwanadamu anapozaliwa tayari Mungu anakuwa amekamilisha sehemu kubwa  ya uumbaji wa mwili,hivyo anapozaliwa huanza kudhihirisha raslimali  hizo katika hali ya upekee tofauti na viumbe vingine.  a) Mamlaka ya kumiliki vitu vyote Mwanzo 1:26-30,2:7  b) Kujitambua  c) Chanzo au  chemichemi  au  chimbuko la Baraka –Kumb 8:18   Zaidi sana mwanadamu anapookolewa , Mungu huwekeza vitu vingine  vya    thamani katika maisha ya mwanadamu.Vitu hivi humfanya Mwanadamu   afanye zaidi ya uwezo wa kuzaliwa nao (uwezo wa kawaida).Raslimali hizo  ni   a) Huduma,karama na vipawa  1 Kor 12:4-11   b )  Mamlaka ya kumshinda shetani  Lk 10:19, 1 sam 17:40-54   c) Ufahamu wa Ki...