JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU                                                                               Simu : +255-22-2114512, 2116898   Email : press@ikulu.go.tz   Tovuti : www.ikulu.go.tz   Faksi : 255-22-2113425                                          OFISI YA RAIS,                                       IKULU,                                       1 BARABARA YA BARACK OBAMA,                                       11400 DAR ES SALAAM,                                       TANZANIA                                                                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa  Taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.   KWANZA, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Profesa Godius Kahyarara  kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF)....
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 19, 2016