KUSIMAMISHA MISINGI YA UFALME WA MUNGU ILI UINULIWE
       Na.AYOUB J.LEO   FPCT KISESA,MWANZA   UTANGULIZI   Zab 11 :3 “Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanyaje ?   VIPENGELE MUHIMU KATIKA SOMO HILI.   1.    TAMBUA UWEPO WA MISINGI   Kila jambo lina msingi wake katika maisha.   a)     Msingi wa maisha ya Kiroho ni utawala wa Mungu (Nuru) ;Zab 89:11,Isa 60:1   b)    Msingi wa Imani yetu umejengwa juu ya YESU KUHANI MKUU; Ef 2:18-22,   c)     Msingi wa Yerusalemu mpya-Umejengwa juu ya makabila 12 ya Israeli ( Uf 21:14,19-21,Kumb 33:1( Mawe 12 ni tabia za wana wa YAKOBO)Unyenyekevu,usikivu,utoaji,uaminifu,imani,upendo,uvumilivu,msamaha,umoja,moyo wa toba,upatanishi na maombi).   2.     JE MISINGI INAWEZA KUHARIBIKA ? Jibu ni ndiyo misingi inaweza kuharibiwa ,ndiyo maana andiko linaeleza kama misingi ikiharibika hivyo tunapaswa kujua kuwa upo uwezekano wa kuharibu misingi.   3.      NINI HUTOKEA MISINGI IKIHARIBIKA ?   a)     Uharibifu wa k...