Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 27, 2017

Vacancies at KIMAS CBO Mtwara (3 Jobs)

Over view of the KIMAS KIMAS is a civil society and Community based organization that was founded in 1993 and officially registered in 2001 by the ministry of home affairs with registration NO.10788. The organization is headquartered in Masasi district, Mtwara region.  KIMAS mission is to build the capacity of poor and marginalize groups of women, youth and men in Tanzania to realize their socio-economic rights and economic well-being. Currently KIMAS in collaboration with PACT-Tanzania  is implementing USAID Kizazi Kipya project in Masasi district.  Thus, for the effective implementation of the project KIMAS is looking to recruit very energetic, competent, qualified and results driven Tanzanian graduates in the following positions;  Position 1; Economic strengthening and Livelihoods officer (ESLO) Reporting; Project Manager Roles and Responsibilities: Job type; Six (6) Months contract with possibility to renew depending on availability of fund and individual perfor
Picha
taarifa kwa vyombo vya habari JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu : +255-22-2114512, 2116898 OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Email : press@ikulu.go.tz Tovuti : www.ikulu.go.tz Faksi : 255-22-2113425 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Machi, 2017 amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Ripoti hiyo imewasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma Assad katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa. Ripoti hiyo imegusa maeneo mbalimbali yakiwemo ukaguzi wa hali ya hesabu za Serikali, misamaha ya kodi, ukusanyaji wa kodi na maduhuli ya Serikali, uandaaji na utekelezaji wa bajeti, hali ya deni la Taifa, usimam