TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
                                       JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA   KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU                                                                                                                    Simu : +255-22-2114512, 2116898                                       Email : press@ikulu.go.tz                                       Tovuti : www.ikulu.go.tz                                       Faksi : 255-22-2113425                                                                         OFISI YA RAIS,                                       IKULU,                                       1 BARABARA YA BARACK OBAMA,                                       11400 DAR ES SALAAM,                                       TANZANIA                                                                   “ Kwa mshituko na  masikitiko makubwa nimepokea taarifa za kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa  Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Kanda ya Afrika Kusini Dkt.  Tonia Kandiero aliyefar...