Dkt. Akwilapo awataka wahitimu wa ADEM kusimamia kanuni na taratibu katika utendaji kazi. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leornard Akwilapo amewataka wahitimu wa kozi za Uongozi na Usimamizi wa Elimu zinazotolewa na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) kuhakikisha wanasimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka(2014), Sheria, Kanuni na Taratibu za Elimu ili kupunguza migogoro shuleni Katibu Mkuu ameyasema hayo katika mahafali ya Ishirini na tano (25) yaliyofanyika katika Chuo hicho kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani ambapo amewataka ADEM kuendelea kusimamia utekelezaji wa Mtaala kwa ufanisi, kutoa takwimu sahihi za shule, kupanga mipango ya maendeleo ya shule inayotekelezeka, kusimamia fedha za elimu bila malipo kwa ufanisi. Eneo lingine ambalo Katibu Mkuu ametaka litiliwe mkazo ni pamoja na kudhibiti nidhamu za wanafunzi mara warudipo katika vituo vy...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba 24, 2017
INVITATION TO ATTEND THE AFRICA 2017 FORUM “DRIVING INVESTMENT FOR INCLUSIVE GROWTH’
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
INVITATION TO ATTEND THE AFRICA 2017 FORUM “DRIVING INVESTMENT FOR INCLUSIVE GROWTH’ 07TH - 09TH DECEMBER, 2017, SHAM EL SHEIKH, EGYPT . Tanzania Investment Centre (TIC) in collaboration with the Ministry of Industry, trade and Investment are pleased to invite local companies/entrepreneurs to an investment forum to be held in Sham El Sheikh, Egypt from 07th to 09th December 2017. The Africa 2017 Forum is the largest investment forum in Africa aimed at introducing business to business and government to business platform focusing on key strategic sectors. The theme for this year will be “Driving Investment for Inclusive Growth’’, providing a platform to increase private sector cooperation in Africa and catalyze investment into sectors of strategic interest to the African continent. The Africa 2017 Forum will bring together policy makers, financiers, investors, and the world countries to promote investments in strategic sectors and the Conference ...