MAZINGIRA YETU

Katika harakati za kuhakikisha unapata maarifa zaidi.Kituo chako cha Nsana Computing Zone kimeanza utaratibu wa kutoa mada mbalimbali zinazohusiana na Utunzaji wa Mazingira,Nidhamu ya kazi,Matumizi ya raslimali n.k.
Leo nitaanza kuzungumzia juu ya Mazingira yetu.Ninaomba kuweka madokezo yafuatayo.
  1. Kwa nini unasikia harufu mbaya ?
  2. Kwa nini unaamka umechoka ?
  3. Kwa nini unavuta hewa nzito ?
  4. Kwa nini umekuwa na tabia ya kuamka umechoka ?
  5. Kwa nini unachukia nyumbani kwako na kutamani kwa mwingine?
  • Majibu ya maswali hayo ni mengi lakini Uchafuzi au uharibifu wa mazingira nao pia utajitokeza.Fuatana nami katika mada hii ili ujifunze zaidi juu ya Mazingira yetu.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUFANIKIWA KI -UCHUMI KWA NJIA YA MUNGU

UCHAMBUZI WA KITABU CHA DANIELI

SOMO: NGUVU YA DAMU YA YESU KATIKA KUWEKA AGANO