Nafasi ya Kazi za Mtendaji Kijiji III Nafasi 44 Wilaya ya Mpwapwa Kumb No. HW/PMW/S 10/51 VOL 1/109 Mkurugenzi mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Bahi anapenda kuwatangazia Watanzania wenye sifa za komba nfasi za kazi ya Watendaji wa Vijiji kwa maSharti ya kudumu, tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha ajira mbadala chenye kumbu Na. CFC 26/205/01 "F" c/91 cha tarehe 22/08/2017 pamoja na barua ya nyongeza ya muda wa utekelezaji wa kibali cha ajira mbadala kwa watendaji wa Vijiji na mitaa chenye Kumb Na, CFC.26/205/01/"GG"/95 cha tarehe 12/03/2018 vyote kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora 1. MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 44 i. SIFA ZA MWOMBAJI - mwenye elimu ya kidato cha 4 na 6 aliyehitimu mafunzo ya atashahada/cheti katika moja ya fanai zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma na...