NAFASI ZA KAZI,MTENDAJI WA KIJIJI III ,MPWAPWA
Nafasi ya Kazi za Mtendaji Kijiji III Nafasi 44 Wilaya ya Mpwapwa
Kumb No. HW/PMW/S 10/51 VOL 1/109
Mkurugenzi
mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Bahi anapenda kuwatangazia
Watanzania wenye sifa za komba nfasi za kazi ya Watendaji wa Vijiji kwa
maSharti ya kudumu, tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha ajira
mbadala chenye kumbu Na. CFC 26/205/01 "F" c/91 cha tarehe 22/08/2017
pamoja na barua ya nyongeza ya muda wa utekelezaji wa kibali cha ajira
mbadala kwa watendaji wa Vijiji na mitaa chenye Kumb Na,
CFC.26/205/01/"GG"/95 cha tarehe 12/03/2018 vyote kutoka kwa Katibu Mkuu
Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
1. MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 44
i. SIFA ZA MWOMBAJI
- mwenye elimu ya kidato cha 4 na 6 aliyehitimu mafunzo ya atashahada/cheti katika moja ya fanai zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma nau chuo chochote kinachotambulika na Serikali

ii. KAZI NA MAJUKUMU
- afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
- Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa malinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- katibu wa mikutano yna kamati zote za halmashauri ya Kijiji
- kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu
- kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
- kiongozi Mkuu wa Vitengo vya kitaalamu katika kijiji
- Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nayaraka za kijiji
- kupokea na kusikiiza na kutataua malalamiko na migogoro ya wnanachi
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji
- atawajibika kwa Mtendaji kata

iii MSHAHARA
kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGS B

MASHARTI YA JUMLA
i. mwombaji lazima awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote Wilaya ya Mpwawa
ii. mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 na 45 na awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai au kufungwa
iii. maombi yote yaambatanishwe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (cv), NAMBA YA SIMU NA ANUNAI SAHIHI, BARUA PEPE NA MAJINA YA WADHAMINI WA 3 WAAOFAHAMIKA
IV. MAOMBI LAZIMA YAAMBATANISHWE NAKALA ZA VYETI VIFUATAVYO
a)astashahada/cheti cha utalaamau kulingana na sifa za nafasi za kazi
b)cheti cha mitihani ya kidato cha 4 na 6
c)cheti cha kuzaliwa
v. matokeo ya muda statement of results hati ya matokeo ya kidato cha 4 hayatakubaliwa
vi. waombaji wawe na isifa tajwa kwenye tangazo hili
vii. wajiriwa wa serikali maombi ya barua yapite kwa mwajiri wake
viii. waombaji watakaoleta maombi na yeti vya kughushi hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao
ix. waombaji wa makundi maalum wanashawishiwa kuomba
x. waombaji wenye vyeti vya kidato cha 4 au vya nje ya nchi vitatakiwa vithibitishwe na NACTE
XI. waombaji wenye vyeti vya astashahada ya nje ya nchi vithibitishwe na TCU na taaifa ya uhakiki iambataishwe
xii. barua ya maombi itatakiwa iandikwe kwa kiswahili aiu kingereza na iandikwe kwa mkono
xiii. siku ya usaili kila mwombaji afike na pssport 2 na vyaeti halisi vya elimu , taaluma na kuzaliwa
xiv mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 08/04/2018

maombi yatumwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa,
S.L.P 12,
MPWAPWA
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa,
S.L.P 12,
MPWAPWA
Maoni