ROHO MTAKATIFU NI UFUNGUO WA MAMLAKA KWA KANISA
NA,CHARLES SYLIVESTER FUNGUO YA TANO : ROHO MTAKATIFU Rejea somo lililopita “FUNGUO ZA MAMLAKA KWA MKRISTO” Jina la Yesu Kristo Damu ya Yesu Kristo Roho Mtakatifu Neno la Mungu Maombi . Roho ni kila kitu siyo msaidizi kwa maana kwamba hana mamlaka Roho ni mtu kwa sababu anaishi anatumia. Roho Mtakatifu ni wa muhimu sana kwa kanisa. Mwambie Roho Mtakatifu akujaze nguvu mpya.Usikubali ukaondoka bila kupokea nguvu za Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni ufunguo milango na malango.Ni zaidi ya nguvu za kawaida.Mkristo aliye na nguvu za Roho Mtakatifu anakwenda kwa viwango tofauti na mtu wa kawaida Roho Mtakatifu ili ashuke kwako lazima uwe katika hali ya maombi. Roho Mtakatifu akithaminiwa kila mahali anakuwa pamoja nasi kwa kila jambo na kila mahali. Roho Mtakatifu ni wa muhimu sana katika maisha yako. KAZI ZAKE 1. Hutuongoza kwenye kweli yote(Yoh 16:13) .Kama unataka kuwa mkweli lazima ...