SIFA ZA MJASIRIA MALI
Watu wengi wamekuwa wakilitumia hili jina MJASIRIAMALI bila wao kutambua kama wanalitumia sahihi au sio sahihi wengi wanaamini kuwa ni wajasiriamali lakini sio wajasiriamali ni wafanyabiashara japo wengi hujiita wajasiriamali.Mjasiriamali ni mtu gani? Huyu ni mtu ambae anaweza kutumia jamii inayomzunguka katika kuanzisha fursa mbalimbali za kibiashara ambazo zitampatia kipato,mtu huyu huweza kuitumia rasilimali watu ili kujinufaisha,watu wengi wanaamini kufungua duka ni kuwa mjasiriamali hapana unaweza kufungua duka lakini bado ulichokifungua na jamii inayokuzunguka hakina faida na ni idadi ndogo tu ya watu ndio watakubaliana nacho lakini pia umefungua duka lakini unasubiria wateja waje tu,huu sio ujasiriamali bali ni ufanyabiashara.mjasiriamali biashara yake haina msimu maalumu lakini mfanyabiashara biashara yake inamsimu maalum.Zifuatazo ni sifa za mjasiria mali. 1. ANAPENDA KUJIFUNZA Hapa ndipo ugonjwa wa watu wengi ulipo mtu anajiita mjasiriamali lakini muul