Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 26, 2017

HUDUMA ZA NSANA COMPUTING ZONE

NSANA COMPUTING ZONE ILIYOPO KISESA STAND YA KWANZA INAPENDA KUWATANGAZIA WADAU NA JAMII KWA UJUMLA HUDUMA ZETU :- TYPING,PRINTING,PHOTOCOPY SCANNING PHOTO PRINTING ( NORMAL & PASSPORT) INVITATIONAL CARD DESIGNING AND PRINTING BUSINESS CARDS INTERNET SERVICES (CREATING E-MAIL,SENDING AND RECEIVING) ONLINE COURSE APPLICATION FOR HIGHER LEARNING (COLLEGES & UNIVERSITIES) LOAN APPLICATION THROUGH HESLB STATIONERIES ( WANAFUNZI,OFISI,NA WATU BINAFSI) SENDING DOCUMENTS ONLINE  T-SHIRT PRINTING KWA NINI UNAKARIBISHWA NSANA CZ ? Huduma za uhakika na kwa ufanisi Computer za kutosha . Nafasi nzuri ya kupumzika. Watoa huduma wetu wanaukarimu wa hali ya juu. Nidhamu ya kazi kwa mteja. Bei zetu ni nafuu ukilinganisha na huduma unazopata. Tunapokea ushauri na kumsikiliza mteja kwa kiwango cha juu. Tunashauri wateja na kuwaelekeza kile wanachotamani kufanya ili wagundue hazina zao (Discovering Your Potentialities").    MAWASILIANO YETU NI :-  E-mail : nsanacz

NAFASI ZA KAZI 150 ZA UDEREVA SERIKALINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/ I/168                                                                                                                                  25 Julai, 2017 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri katika Wizara mbalimbali Serikalini anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi (150) za DEREVA DARAJA LA II. 1.0 DEREVA DARAJA LA II (DRIVER) – NAFASI 150 1.1 MAJUKUMU YA KAZI Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari, Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi, Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari, IV. Kukusafanya na kusambaza nyaraka mbalimbali, Kujanza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari, VI. Kufanya usafi wa gari, Kufanya kazi zingine kad