HUDUMA ZA NSANA COMPUTING ZONE
NSANA COMPUTING ZONE ILIYOPO KISESA STAND YA KWANZA INAPENDA KUWATANGAZIA WADAU NA JAMII KWA UJUMLA HUDUMA ZETU :-
- TYPING,PRINTING,PHOTOCOPY
 - SCANNING
 - PHOTO PRINTING ( NORMAL & PASSPORT)
 - INVITATIONAL CARD DESIGNING AND PRINTING
 - BUSINESS CARDS
 - INTERNET SERVICES (CREATING E-MAIL,SENDING AND RECEIVING)
 - ONLINE COURSE APPLICATION FOR HIGHER LEARNING (COLLEGES & UNIVERSITIES)
 - LOAN APPLICATION THROUGH HESLB
 - STATIONERIES ( WANAFUNZI,OFISI,NA WATU BINAFSI)
 - SENDING DOCUMENTS ONLINE
 - T-SHIRT PRINTING
 
KWA NINI UNAKARIBISHWA NSANA CZ ?
- Huduma za uhakika na kwa ufanisi
 - Computer za kutosha .
 - Nafasi nzuri ya kupumzika.
 - Watoa huduma wetu wanaukarimu wa hali ya juu.
 - Nidhamu ya kazi kwa mteja.
 - Bei zetu ni nafuu ukilinganisha na huduma unazopata.
 - Tunapokea ushauri na kumsikiliza mteja kwa kiwango cha juu.
 - Tunashauri wateja na kuwaelekeza kile wanachotamani kufanya ili wagundue hazina zao (Discovering Your Potentialities").
 
MAWASILIANO YETU NI :-
E-mail : nsanacz@gmail.com au kisesat@gmail.com
Simu +255 (0) 755 035 722 / + 255 (0) 785 64 51 77
Maoni