Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 29, 2018

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/J/112 28 Machi, 2018 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Taasisi za Umma mbalimbali Serikalini, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini – RITA, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 113 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili. 1.1 AFISA UTAFITI KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL RESEARCH OFFICER II) – NAFASI 4 (Agronomy Nafasi 1, Horticulture Nafasi 1, Agricultural Economics and Agribusiness Nafasi 1 na Agriculture General Nafasi 1) 1.1.1 MAJUKUMU YA KAZI i. Kusaidia kuandika na kukusanya ripoti za utafiti wa Kilimo/Uchumi kilimo chini ya maelekezo ya afisa utafiti mwandamizi, ii. Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za utafiti zinazoendelea, iii. Kuhudhuria ...