SOMO : WAJIBU WA KUTHIBITI ULIMI
MCH. TUMSIFU KASSA YAK 3: 1-12 Ulimi una kazi kubwa sana.Baadhi ya kazi za ulimi kwa binadamu ni k utoa sifa na laana.Ulimi wa mtu aliyeokoka una kai kubwa kuliko wa mtu wa kawaida. Tutumie ulimi kwa uangalifu mkubwa sana. Baadhi ya watumishi wa Mungu waliotangulia walishindwa kuthibiti ndimi zao kama vile,Nuhu,Musa, Samson, Eliya n.k.Ndiyo maana maandiko yanasema kuwa aliye Mkamilifu pekee ni Mungu tu.(Mhubiri 7:20) Mungu anatafuta watu wanaothibiti ulimi ili wamtumikie.Mith 10: 19-20,21. Mungu anakusudia ulimi uwe kama fedha teule. Kwa kutumia ulimi tunahubiri injili,kuombea wagonwa,kufukuza mapepo,kumsifu Mungu. Watu wengi sana katika ndimi zao wametamka kutamani nguvu Za Mungu lakini hjawako tayari kutafuta Mungu mwenye nguvu.Kanuni za kufundisha zinataka kila anayefundisha kwanza awe amejifunza au amebadilishwa na neon analofundisha ( Math 22: 15-16). Mafundisho mengi yanasisitiza juu ya mafanikio hayamzungumzii Mungu. Sikiliza mtu wa Mungu,MAFANIKIO NI