Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2016
Picha
THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION (NACTE) PUBLIC NOTICE MINIMUM ENTRY REQUIREMENTS The National Council for Technical Education (NACTE), would like to inform the Public and other Education stakeholders on the minimum entry requirements to join Basic Technician Certificate (NTA Level 4), which will eventually lead to Ordinary Diploma (NTA Level 6) for successful Candidates. An applicant should possess secondary certificate from National Examinations Council of Tanzania (NECTA) with a minimum of four passes (Four D’s) excluding religious subjects. Holders of foreign certificates should submit to NECTA for equivalence of their awards to Tanzania awards system to enable them to Apply. It should be noted that, the entire process of admission is done via Central Admission System (CAS) . For more information about registration status for Institutions and programmes/ courses offered, kindly visit our website at www.nacte.go.tz . ISSUED BY; THE OFFICE
Picha
  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu : +255-22-2114512, 2116898 Email : press@ikulu.go.tz Tovuti : www.ikulu.go.tz Faksi : 255-22-2113425 OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa Taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo. KWANZA, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Profesa Godius Kahyarara kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF). U