Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2018

MATOKEO YA

Picha
Shule 10 BORA na Shule 10 za Mwisho Matokeo ya Kidato cha Nne 2017 Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017 ambapo Shule  iliyoshika namba moja inatoka Mbeya. TOP 10 YA SHULE BORA. 1. St. Francis Girls ya Mbeya 2. Feza Boys ya Dar es salaam 3. Kemebos ya Kagera   4. Bethel Sabs Girls ya Iringa   5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro   6. Marian Girls Pwani   7. Canossa ya Dar es salaam   8. Feza Girls ya Dar es salaam   9. Marian Boys ya Pwani   10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam   TOP 10 YA SHULE ZA MWISHO KITAIFA 10. Mtule ya Kusini Unguja 9. Nyeburu ya Dar es salaam 8. Chokocho ya Kusini Pemba 7. Kabugaro ya Kagera 6. Mbesa ya Ruvuma 5. Furaha ya Dar es salaam 4. Langoni ya Mjini Magharibi 3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi 2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja 1. Kusini ya Kusini...

HUDUMA YA KICHUNGAJI

Picha
Rev. Innocent Kamote Mkuu wa wajenzi mwenye Hekima UTANGULIZI        Katika sehemu nyingi za ulimwengu leo, kanisa la Mungu linakua kwa kasi, Matokeo yake kumekuwa na kundi kubwa la wakristo wanaohitaji huduma ya kichungaji na uongozi wa kiroho. Maandiko yanawaita watu hao kondoo ambao wanahitaji mchungaji wa kuwaongoza, kuwatunza, kuwahudumia, kuwalisha, na kusimamia usalama wao. Kristo alitumia mfano huu wa kondoo na mchungaji kuonyesha ni huduma gani watu wanaihitaji, Kwa bahati mbaya Pamoja na kuwa na wachungaji wengi na maaskofu wengi na waangalizi bado kondoo wengi hawajaweza kufikiwa kwa huduma ya kichungaji huduma hii inahitajika sana.      Wewe mwenyewe umekuwa ni shahidi jinsi ambavyo umekutana na Kondoo wengi nje ya kanisa lako au waliokimbilia katika kanisa lako wakitokea sehemu nyingine na huenda labda kwa mchungaji au askofu maarufu sana au kanisa maarufu sana na ukashangaa kuona kuwa alishindwa kupata hudum...