Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2016

SOMO: NGUVU YA DAMU YA YESU KATIKA KUWEKA AGANO

SOMO: NGUVU YA DAMU YA YESU KATIKA KUWEKA AGANO Na Ayoub Jacob Leo,FPCT KISESA 13.11.2016 hadi 27.11.2016 Nini maana ya Agano? Maana:   Ni mapatano au makubaliano yanayowekwa baina ya pande mbili au zaidi ili kutekeleza jambo/mkakati uliopo.Katika Maandiko kuna maagano mengi yaliyowekwa na Mungu na watu au watumishi wake. Mfano Agano la Mungu na Adam Edeni,Mungu na Nuhu,Mungu na Ibrahim,Mungu na Musa,Agano la kanisa la leo kwa damu ya   Yesu( Math 26:28) MSINGI WA AGANO LA DAMU YA YESU Yer 31:31-33,Ebr 8:8 ·          Agano hilo linatambulishwa kuwa jipya ·          Halitafanana na agano lolote lile ·          Agano litatia sheria ndani ya mioyo yao. ·          Ndani ya mioyo yao zitaandikwa ·          Agano litawafanya watu wa Mungu kuwa milki yake. Damu ya Yesu ina nguvu kupita agano lolote :- ( Math 26:28a) ·          Damu ya Yesu kwa ajili ya ondoleo la dhambi Math 26 :28,1Yoh 1:7-8 “ Na kila Kuhani husimama kila siku akifanya  ibada,

NAFASI ZA KAZI

To Advertise Call +255754084190 Tuesday, 22 November 2016 15:59 NAFASI YA KAZI HEAD OF PRIVATE NURSING SERVICE CCBRT TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 5 DECEMB Head of Private Nursing Services Ref: 2016-49 The story Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) is a locally registered NGO first established in 1994. It is the largest indigenous provider of disability and rehabilitation services in the country. CCBRT aims to empower people with disabilities and their families, improve their quality of life, and ensure access to medical and rehabilitative treatment. Committed to preventing disabilities wherever possible, CCBRT is now expanding its Private Clinic Services and becoming more competitive in delivering its services in order to become a flourishing social enterprise. Are you the candidate we’re looking for to become an enthusiastic and proactive Head of Private Nursing, with a passion for providing excellent health care serv