TABIA ZA WATU
PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YAO Wataalam wa mambo ya saikolojia na maumbile wamezisoma tabia mbalimbali za binadamu na hatimaye wamewagawanya binadamu katika makundi makuu manne yenye kategoria kuu mbili. Kategoria hizo ni 1. Introvant: watu wenye uwezo mkubwa kiakili na wanaotafakari mambo kwa kina hapa kuna makundi mawili 1. Melancolin 2. Fragmetic 2. extrovants: wana uwezo wa kawaida kiakili na hawana tafakari za kina katika mambo yao Hapa kuna makundi mawili 1. Sanguine 2. Colerick Na sasa tuangalie tabia za kila kundi na mienendo yao 1. MELANCOLIN Watu wa kundi hili (females and males) wana sifa zifuatazo -wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient) -ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi -wanamudu v...