taarifa kwa vyombo vya habari taarifa kwa vyombo vya habari JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu : +255-22-2114512, 2116898 Email : press@ikulu.go.tz Tovuti : www.ikulu.go.tz Faksi : 255-22-2113425 OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania na taasisi mbalimbali kutumia takwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu na kujiepusha na takwimu za upotoshaji zinazosambazwa na baadhi ya watu kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo tarehe 20 Desemba, 2017 katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu inayojengwa katika eneo la Makulu Mjini Dodoma. Pamoja na wito huo Mhe. Rais Magufuli ameitaka Ofisi ya Taifa ya Takwimu pamoja na vyombo vingine husika kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mt...
Machapisho
NAFASI ZA KAZI NGORONGORO
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
NAFASI ZA KAZI NGORONGORO CONSERVATION AREA AUTHORITY (NCAA), TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 29 DECEMBER 2017 NGORONGORO CONSERVATION AREA AUTHORITY (NCAA) JOB OPPORTUNITIES The Ngorongoro Conservation Area (NCA) was established in 1959. The Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), under the Ministry for Natural Resources and Tourism, is mandated to manage the NCA. The main functions of the NCAA are to promote the interests of indigenous people living in the NCA, to conserve and develop the natural and cultural heritage resources and to promote tourism in NCA. The Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) invites applications from qualified Tanzanians to fill the following vacant positions:- 1.0 ENGINEERING SERVICES MANAGER (1 POST) 1.1 Qualifications Holder of Master’s Degree in Civil Engineering or similar related field registered by the Engineers Registration Board (ERB) as practicing Engineer. The candidate must have knowledge in using vario...