Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2015
NSANA COMPUTING ZONE “ Discovering your Potentialities ” P.O.BOX 2637,MWANZA, PHONE:+255(0) 785 64 51 77 E-mail : nsanacz@gmail.com, Blog:www.nsanacz.blogspot.com OUR SERVICES AND PRODUCTS ·   Internet & E-mail ·   Printing (Colour & Black and White) ·   Photocopy ·   Training (Computer Courses) ·   Project design and Monitoring ·   Building and Developing Skills ·   Online course registration for Colleges and Universities ·   Stationeries ·   Scanning ·   Sending and receiving documents by Electronic means Located at Stand ya Kwanza –Kisesa NSANA COMPUTING ZONE “ Discovering your Potentialities”
Picha
SOMO.NGUVU YA MAONO KATIKA MAISHA YA MKRISTO NA:AYOUB JL UTANGULIZI. Tangu mwanzo Mungu aliwekeza raslimali nyingi za thamani ndani ya mwanadamu kama vile Ufahamu,Ujuzi,ubunifu,Ugunduzi,busara,vipaji mbalimbali,mamlaka,uhai,chanzo cha Baraka.Mwanzo 1:26-30,2:7. Mwanadamu anapozaliwa tayari Mungu anakuwa amekamilisha sehemu kubwa ya uumbaji wa mwili,hivyo anapozaliwa huanza kudhihirisha raslimali hizo katika hali ya upekee tofauti na viumbe vingine. a) Mamlaka ya kumiliki vitu vyote Mwanzo 1:26-30,2:7 b) Kujitambua c) Chanzo au  chemichemi  au  chimbuko la Baraka –Kumb 8:18 Zaidi sana mwanadamu anapookolewa , Mungu huwekeza vitu vingine vya    thamani katika maisha ya mwanadamu.Vitu hivi humfanya Mwanadamu  afanye zaidi ya uwezo wa kuzaliwa nao (uwezo wa kawaida).Raslimali hizo ni a) Huduma,karama na vipawa  1 Kor 12:4-11 b )  Mamlaka ya kumshinda shetani  Lk 10:19, 1 sam 17:40-54 c) Ufahamu wa Ki-Mungu-  Yusufu  Mwanzo  41 :37-40, Dan 1 :17-20 d )

TAFAKARI

Picha
MWENYE HAKI ATAWALAPO WATU HUFURAHI,LAKINI MWOVU AKITAWALA WATU HUUGU (Mith 29:2)

TANZANIA CLASSIC: BAADA YA LIPUMBA KUJIUZULU ,CUF YATOA TAMK...

TANZANIA CLASSIC: BAADA YA LIPUMBA KUJIUZULU ,CUF YATOA TAMK... : Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akitanganza kung'atuka wadhifa wake wa Uenyekiti wa CUF TAARIFA KWA ...