KUFANIKIWA KI -UCHUMI KWA NJIA YA MUNGU
SHUKRANI. Ninamshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kukufikia mtu wa Mungu kupitia ujumbe huu. Pia ninamshukuru mke wangu mpendwa Jane Ayoub kwa kunitia hamasa ya kufanya kazi ya Mungu.Pia watoto wangu Bernadetha Ayoub,Bertha Ayoub na Bernice Ayoub,kwa kuniombea na kuvumilia upweke wangu kwao. Siwezi kusahau watumishi wa Mungu walioandika na kufundisha masomo yanayofanana na somo hili.Nimejifunza mambo mazuri yaliyofanyika msaada kwangu.Nitataja wachache 1. Dr.Myles Munroe 2. Pastor Chris Oyakilome (PHD) 3. Dr.Mensa Otabil 4. Rev.Primus Muabuzi 5. Mwl, Christopher Mwakasege 6. Bishop Augustine Mpemba 7. Mch.John Mkuwa 8. Fredrick Eliakim 9. July Bosha- Kiongozi na mlezi wangu Kiroho Ninakushauri unaposoma kijitabu hiki utulie kwa makini na kutafakari kwa kina.Nukuu zimetoka katika maandiko matakatifu yaani Biblia.Mahali pengine nimenukuu maandiko ya semina na mafundisho...
Maoni