Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2017

HUDUMA ZA NSANA COMPUTING ZONE

NSANA COMPUTING ZONE ILIYOPO KISESA STAND YA KWANZA INAPENDA KUWATANGAZIA WADAU NA JAMII KWA UJUMLA HUDUMA ZETU :- TYPING,PRINTING,PHOTOCOPY SCANNING PHOTO PRINTING ( NORMAL & PASSPORT) INVITATIONAL CARD DESIGNING AND PRINTING BUSINESS CARDS INTERNET SERVICES (CREATING E-MAIL,SENDING AND RECEIVING) ONLINE COURSE APPLICATION FOR HIGHER LEARNING (COLLEGES & UNIVERSITIES) LOAN APPLICATION THROUGH HESLB STATIONERIES ( WANAFUNZI,OFISI,NA WATU BINAFSI) SENDING DOCUMENTS ONLINE  T-SHIRT PRINTING KWA NINI UNAKARIBISHWA NSANA CZ ? Huduma za uhakika na kwa ufanisi Computer za kutosha . Nafasi nzuri ya kupumzika. Watoa huduma wetu wanaukarimu wa hali ya juu. Nidhamu ya kazi kwa mteja. Bei zetu ni nafuu ukilinganisha na huduma unazopata. Tunapokea ushauri na kumsikiliza mteja kwa kiwango cha juu. Tunashauri wateja na kuwaelekeza kile wanachotamani kufanya ili wagundue hazina zao (Discovering Your Potentialities").    MAWASILIANO YETU NI :-  E-...

NAFASI ZA KAZI 150 ZA UDEREVA SERIKALINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/ I/168                                                                                                                                  25 Julai, 2017 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri katika Wizara mbalimbali Serikalini anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi (150) za DEREVA DARAJA LA II. 1.0 DEREVA DARAJA LA II (DRIVER) – NAFASI...

SOMO : UTATAKA KUTUBU LAKINI TOBA YAKO ITAKATALIWA.

MCH. BOAZ ANASI FPCT UJIJI KIGOMA Kuna mambo yanaonekana kana kwamba Mungu ana ugomvi na wewe. Mambo haya yanakwamisha au kukufanya ushindwe kumwona Mungu katika maisha yako. Isa 1:19,Yak 4 :7a,Kut 19 : 3-8 3 Musa akapanda kwa Mungu, na BWANA akamwita toka mlima ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya; 4# Kum 32:11; Isa 63:9; Ufu 12:14 Mmeona jinsi nilivyowatendea Wamisri, na jinsi nilivyowachukua ninyi juu ya mbawa za tai, nikawaleta ninyi kwangu mimi. 5# Kum 4:20; 7:6; 10:14; 14:2; 26:18; 32:8; 1 Fal 8:53; Zab 50:12; 135:4; Tit 2:14; 1 Kor 10:26 Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kulishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu; maana dunia yote pia ni mali yangu, 6# Ufu 1:6; 5:10; 20:6; 1 Pet 2:5,9; Law 20:24; Kum 7:6; Isa 62:12; 1 The 5:27 nanyi mtakuwa kwangu ufalme wa makuhani, na taifa takatifu. Hayo ndiyo maneno utakayowaambia wana wa Israeli. 7 Musa akaenda akawai...

ANGALIA VIDEO HIZI

NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA UALIMU SAFINA