Dkt. Akwilapo awataka wahitimu wa ADEM kusimamia kanuni na taratibu katika utendaji kazi. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leornard Akwilapo amewataka wahitimu wa kozi za Uongozi na Usimamizi wa Elimu zinazotolewa na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) kuhakikisha wanasimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka(2014), Sheria, Kanuni na Taratibu za Elimu ili kupunguza migogoro shuleni Katibu Mkuu ameyasema hayo katika mahafali ya Ishirini na tano (25) yaliyofanyika katika Chuo hicho kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani ambapo amewataka ADEM kuendelea kusimamia utekelezaji wa Mtaala kwa ufanisi, kutoa takwimu sahihi za shule, kupanga mipango ya maendeleo ya shule inayotekelezeka, kusimamia fedha za elimu bila malipo kwa ufanisi. Eneo lingine ambalo Katibu Mkuu ametaka litiliwe mkazo ni pamoja na kudhibiti nidhamu za wanafunzi mara warudipo katika vituo vyao vya kazi. Dkt.
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2017
INVITATION TO ATTEND THE AFRICA 2017 FORUM “DRIVING INVESTMENT FOR INCLUSIVE GROWTH’
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
INVITATION TO ATTEND THE AFRICA 2017 FORUM “DRIVING INVESTMENT FOR INCLUSIVE GROWTH’ 07TH - 09TH DECEMBER, 2017, SHAM EL SHEIKH, EGYPT . Tanzania Investment Centre (TIC) in collaboration with the Ministry of Industry, trade and Investment are pleased to invite local companies/entrepreneurs to an investment forum to be held in Sham El Sheikh, Egypt from 07th to 09th December 2017. The Africa 2017 Forum is the largest investment forum in Africa aimed at introducing business to business and government to business platform focusing on key strategic sectors. The theme for this year will be “Driving Investment for Inclusive Growth’’, providing a platform to increase private sector cooperation in Africa and catalyze investment into sectors of strategic interest to the African continent. The Africa 2017 Forum will bring together policy makers, financiers, investors, and the world countries to promote investments in strategic sectors and the Conference
NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
USHUHUDA WA THEOFLIDA WA YESU : NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI. Nawasalimu kwa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida , ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38 mkaazi wa Mbezi ya Kimara jijini Dar Es Salaam, japo kiasili ni mwenyeji wa wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro. .Nimeamua kuandika waraka huu kwa madhumuni makuu mawili, kwanza ni kushuhudia MATENDO MAKUU ambayo YESU AMENITENDEA na pili, ni kuwaasa wanawake wenzangu kutojihusisha kabisa na masuala ya WAGANGA WA KIENYEJI kwa sababu waganga wa kienyeji ni MAWAKALA WA KAZI ZA SHETANI HAPA DUNIANI na ni MASHETANI KABISA!...Nitaanza kwa kuelezea kisa kilicho nipelekea kuingia kichwa kichwa kwenye mikono ya wakala wa shetani.. Nilikuwa nimepanga chumba kimoja maeneo ya Tabata Mawenzi huku nikijihusisha na biashara ya genge. Jirani na nyumba niliyokuwa nimepanga, aliishi mwanaume mmoja na mke wake. Mwanaume huyu jina lake linaanzia na herufi K hivyo katika maelezo yangu
NAMNA MWANAMKE ANAVYOWEZA KUTUMIA NAFASI ZAKE KUBADILISHA MAISHA YA NDOA YAKE
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Na,PATRICK SANGA Mithali 14: 1 ‘Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe’ . Mchungaji mmoja rafiki yangu aliniambia asilimia hamsini mpaka sabini ya changamoto au matatizo anayoshughulika nayo mara kwa mara katika kanisa lake ni ya wanandoa. Kwa lugha nyepesi asilimia 50 – 70 ni matatizo yatokanayo au yanayohusiana na ndoa. Binafsi pia kwa upande wangu kupitia nafasi yangu katika mwili wa Kristo, email za wasomaji ninazopata na pia baadhi ya semina za ndoa ambazo nimefanya kuhusu eneo hili nimegundua kwa hakika ndoa nyingi za wana wa Mungu zina shida na wao hawajajua kwamba vita hii inatoka kwa Shetani, maana anajua ndoa zikitengamaa ni faida kwa ufalme wa Mungu na ni uharibifu kwenye ufalme wake wa giza. Naam anapigana usiku na mchana ili kuhakikisha ndoa hazitengamai kwa kuleta fujo za kila aina. Kila siku katika ndoa kuna changamoto zinazaliwa mpaka imefika mahala baadhi ya wanandoa wanawaza kwa nini