Machapisho

UENDESHAJI WA VIKAO

Ni jambo zuri kuwa na vikao vya ndugu,jamaa,jumuiya,kikundi,Taasisi n.k Fuatilia somo hili kwa makini. UENDESHAJI WA VIKAO Na, AYOUB LEO VIKAO Ni mazungumzo yanayofuata utaratibu maalum kwa ajili ya kupata azimio/maamuzi ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu/mipango. Uongozi shirikishi una tabia ya kujali vikao ili kuweka mipango na mikakati inayowezesha kundi/jamii kuwa katika umoja.Hivyo uongozi wa kidemokrasia huwa na vikao ili kupata ushauri na maoni ya wajumbe juu ya mipango. SIFA ZA VIKAO ·          Vikao vinatakiwa kuwa na agenda/mada ya kujadili. ·          Viwe na muda maalum wa kuitishwa mfano.Wiki/Mwezi/miezi mitatu na hata mwaka .(Hii hutegemea aina ya vikao) ·          Kuwa na wajumbe( idadi ya wale waliokubalika). ·          Kuwepo na mwenyekiti, katibu na wajumbe wengine. ·  ...

UJASIRIAMALI

HII NDIO MAANA HALISI YA KUENDESHA BIASHARA KISOMI UJASIRIAMALI Kwanza kabla hatujaenda mbali tambua yafuatayo: Sio lazima mwenye biashara awe msomi ili biashara iendeshwe kisomi Sio kila msomi anaweza endesha biashara kisomi. Kuendesha biashara kisomi sio tuu kufanikisha biashara ipate faida. Kuendesha biashara kisomi ni zaidi ya elimu ya darasani ya biashara Endelea kusoma ufahamu vizuri nini cha kufanya ili biashara iendeshwe kisomi. Ipo hivi,  kuendesha biashara kisomi ni pale unapoamini na kutenda mambo yahusuyo biashara yako kwa imani na mtazamo kuwa biashara yako ipo sio tuu kwa sababu ya kupata faida ili wewe ujinufaishe bali huko kupata faida ni sehemu tuu ya malipo yako ya kukufanya uihudumie biashara yako ifikie kile ambacho kweli haswa ndio lengo lake. Hivyo kwa mtazamo wa kisomi ni kuwa pamoja na kwamba wewe unajiita bosi, kiukweli wewe ni mtumishi tuu wa hiyo biashara.  Itazame biashara yako kama kiumbe ambacho kimekwisha zaliwa, ...

KISESA YETU

Picha
Hiki ni kilima kidogo kinachopatikana kata ya Kisesa,Kijiji cha Kitumba maarufu kama Mlima wa Astadi.                                           Ubao wa kuingia shuleni ya Sekondari Kitumba                                                                                         Kuingia na kutoka shuleni             ...

MCHANGO WA JAMII KATIKA MAENDELEO

Tupo katika harakati za kulijenga Taifa letu ili kulifanya lifurahiwe na watu wetu.Rais wetu wa awamu ya tano anayo nia ya dhati kutufikisha kule tunakotaka.Ninawaomba wadau mbalimbali tusaidiane katika kuchangia na kupongeza jitaihada hizi. Mashirika ya dini na Umma tuungane pamoja katika kufikia azma hiyo. Mfano Wakristo tukitenga siku moja ya kutoa sadaka na michango kwa ajili ya Madawati si tutafungua madirisha ya mbinguni ? au  Wasanii maarufu watafanya maonesho mangapi kupata madawati ya Mkoa ? au  Timu maarufu zitafanya mipambano mingapi ili kumaliza suala hili ? Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi juu ya namna bora ya kuiletea Nchi yetu maendeleo hasa namna ambavyo wanajamii wanavyoshirikishwa.Yapo mengi tunaweza kuyafanya kama nia yetu ni kupata maendeleo.Fuatilia maoni na mapendekezo yangu juu ya hili. MADHEHEBU. Hili ni kundi linalokusanya fedha nyingi na pengine hata kodi hazilipiwi.Kama viongozi kupitia Umoja wao watakaa na kuazimia ifanyike ibada ...
Picha
THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION (NACTE) PUBLIC NOTICE MINIMUM ENTRY REQUIREMENTS The National Council for Technical Education (NACTE), would like to inform the Public and other Education stakeholders on the minimum entry requirements to join Basic Technician Certificate (NTA Level 4), which will eventually lead to Ordinary Diploma (NTA Level 6) for successful Candidates. An applicant should possess secondary certificate from National Examinations Council of Tanzania (NECTA) with a minimum of four passes (Four D’s) excluding religious subjects. Holders of foreign certificates should submit to NECTA for equivalence of their awards to Tanzania awards system to enable them to Apply. It should be noted that, the entire process of admission is done via Central Admission System (CAS) . For more information about registration status for Institutions and programmes/ courses offered, kindly visit our website at www.nacte.go.tz . ISSUED BY; THE OFFICE...