Machapisho

THINGS TO CONSIDER BEFORE MARRIAGE

Some things to consider before marriage and issues related to marriage and divorce.  7 July 2016 International leaders message Compiled by Minister Pauline Burthwick of Releasing Destiny World Wide info@releasingdestinyworldwide.org  +1.701.371.7720  print pages 1-13 for all info Dear Pastors and Leaders, For many of you who are already married, this message comes too late.  However, this is a good message to share with your youth or for you to read and understand and follow if you have not been married yet.  Choosing the right partner is so important for those who are Christians and know that they are called by God.  I realize that for those of you in some countries this does not necessarily apply as your traditions have your parents choosing your life mate – perhaps you can give this to the parents so that they can use this as a guideline in making their choices.  Young people experience the lack of wisdom in these matters as well...

Nini ukifanye wakati ukiwa mwanafunzi ?

Picha
Kuanzia mwezi huu wa saba 2016 tunakusudia kuwa na Club itakayojihusisha na masuala ya Kitaaluma pekee yake .Club hii itakuwa na utaratibu wa kukutana kwa ajili ya kubadilishana mada na wakati mwingine itakuwa na ratiba ya kuwatafuta walimu mahiri wa masomo ambao watawasilisha mada kutokana na uhitaji wa wanafunzi wenyewe. Mambo ya msingi katika Club hii itakuwa kujenga uwezo wa mwanafunzi kusoma kwa kujiamini,kufanya uchaguzi wa michepuo kutegemea dira ya maendeleo ya Kitaifa,kuunda urafiki wa kitaaluma unaoweza kumsaidia mwanafunzi kupata stadi mbalimbali zitakazomwezesha kuwa mbunifu,mdadisi na anayeweza kubadili changamoto kuwa fursa. MAHUSIANO NA WALIOTANGULIA KITAALUMA. Ni jambo baya sana kwa mwanafunzi kutojali waliofanikiwa.Ili aweze kufanikiwa anatakiwa kujifunza kwa waliofanikiwa .Ili aweze kujifunza lazima kuwepo mazingira maalum ya kubadilishana mawazo .Mwanafunzi wa kidato anatakiwa kuwa karibu na mwanafunzi wa kidato cha pili,mwanafunzi wa kidato cha pili an...

TABIA ZA WATU WASIO NA MAFANIKIO NA WASIO NA MAZINGIRA YA KUFANIKIWA.NA DR. CHRIS MAUKI

Ni watu wenye tabia ya kujipendelea wao wenyewe, watu wenye umimi na ubinafsi wakati wote Ni watu wenye tabia ya ubishi na kupinga kila jambo, hususani lile ambalo mwingine amelisema ama kulizungumza, kwao hoja ya mwingine sio hoja bali hoja yao ndiyo hoja pekee. Ni watu wenye visasi na mafundo ya moyoni hata katika vitu vidogo na visivyo vya msingi, wanaweza kuzira kirahisi tena kwa muda mrefu bila hata sababu ya msingi  Wanaumizwa sana pale mwingine anapopewa pongezi au kusifiwa au kupewa ushindi, kiu yao ni kwamba pongezi zote na sifa zote na ushindi wote uwe wakwao. Mara mwingine anapoonekana kushinda basi wao hujifanya ndio waliokuwa chachu au wasababishaji wa ushindi huo na kwahivyo wanataka wapongezwe wao au mchango wao kukubalika mbele za watu  Ni watu walalamishi sana na wenye kulaumu kila mazingira, huwalaumu wengine pale wao wanapoonekana kushindwa, wakishindwa au kufeli wao basi huzitupia lawama kwa watu wanaowazunguka, utasikia wakisema “kama asingekuwa fula...

USHIRIKIANO WA TANZANIA

Picha
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wafanyabiashara wa Rwanda kuwa bandari ya Dar es salaam ni salama kwa wao kupitisha mizigo na ameahidi kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuchukua hatua za kuiboresha bandari hiyo na kurahisisha biashara kati ya nchi hizi mbili. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo tarehe 01 Julai, 2016 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tanzania na Rwanda kupitia vyombo vya habari wakati wa ziara rasmi ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame inayofanyika kwa siku mbili hapa nchini. Dkt. Magufuli amesema pamoja na kuchukua hatua kadhaa za kuboresha bandari ya Dar es salaam kwa manufaa ya wafanyabiashara wanaopitisha mizigo, Tanzania imeamua kuipatia Rwanda eneo la kujenga bandari kavu kwa ajili ya mizigo ya wafanyabiashara wake na pia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) itafungua ofisi Mjini Kigali nchini Rwanda ikiwa...

UENDESHAJI WA VIKAO

Ni jambo zuri kuwa na vikao vya ndugu,jamaa,jumuiya,kikundi,Taasisi n.k Fuatilia somo hili kwa makini. UENDESHAJI WA VIKAO Na, AYOUB LEO VIKAO Ni mazungumzo yanayofuata utaratibu maalum kwa ajili ya kupata azimio/maamuzi ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu/mipango. Uongozi shirikishi una tabia ya kujali vikao ili kuweka mipango na mikakati inayowezesha kundi/jamii kuwa katika umoja.Hivyo uongozi wa kidemokrasia huwa na vikao ili kupata ushauri na maoni ya wajumbe juu ya mipango. SIFA ZA VIKAO ·          Vikao vinatakiwa kuwa na agenda/mada ya kujadili. ·          Viwe na muda maalum wa kuitishwa mfano.Wiki/Mwezi/miezi mitatu na hata mwaka .(Hii hutegemea aina ya vikao) ·          Kuwa na wajumbe( idadi ya wale waliokubalika). ·          Kuwepo na mwenyekiti, katibu na wajumbe wengine. ·  ...