SOMO: NGUVU YA DAMU YA YESU KATIKA KUWEKA AGANO Na Ayoub Jacob Leo,FPCT KISESA 13.11.2016 hadi 27.11.2016 Nini maana ya Agano? Maana: Ni mapatano au makubaliano yanayowekwa baina ya pande mbili au zaidi ili kutekeleza jambo/mkakati uliopo.Katika Maandiko kuna maagano mengi yaliyowekwa na Mungu na watu au watumishi wake. Mfano Agano la Mungu na Adam Edeni,Mungu na Nuhu,Mungu na Ibrahim,Mungu na Musa,Agano la kanisa la leo kwa damu ya Yesu( Math 26:28) MSINGI WA AGANO LA DAMU YA YESU Yer 31:31-33,Ebr 8:8 · Agano hilo linatambulishwa kuwa jipya · Halitafanana na agano lolote lile · Agano litatia sheria ndani ya mioyo yao. · Ndani ya mioyo yao zitaandikwa · Agano litawafanya watu wa Mungu kuwa milki y...
Maoni