MAZINGIRA YETU
MAZINGIRA YETU
Na. AYOUB JL. MAZINGIRA NI NINI ?
Mazingira
ni vitu vyote vinavyotuzunguka vyenye uhai na visivyo na uhai. Vitu
vyenye uhai ni pamoja na mimea na wanyama na visivyo na uhai ni pamoja na uhai
ni hewa, ardhi na maji. Mazingira yanahusisha pia vitu vyote
vinavyosaidia kuendelea kuwepo kwa maisha ya mwanadamu na viumbe
wengine. Hivyo basi maisha ya viumbe hai wa kizazi kilichopo na kijacho
kinategemea uwepo wa mahusiano mazuri kati ya watu na mazingira.
Shughuli za binadamu zimekua kwa kasi sana hususani kilimo,ufugaji,biashara,uchimbaji wa madini,utafutaji wa Nishati na Viwanda.Karibia kila shughuli inaathari chanya au hasi kwa mazingira na viumbe vilivyopo.Ni jambo la muhimu sana kwa kila mmoja kuwa makini katika shughuli ili kuyafanya rafiki kwa kila kiumbe.Mazingira rafiki ni Muhimu sana kwani hutuwezesha kuendelea kuvuna raslimali nyingi zilizofichwa.
Hii ni sehemu ya Mazingira ya shule (Nembo ya kuelekea shuleni.)

Nitaendelea wiki ijayo
Maoni