MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOOMBEA MAHITAJI
1.  
Mfahamu Mungu –Ebr 11:6
a)    Anajishughulisha sana na mambo yetu -1Pet 5 :6-7
b)   Ni mapenzi yake upokee majibu ya mahitaji yako. Zab 37
:4,Yoh 16 : 24
c)    Ana huruma kwa wana wake wamchao Zab 103: 13,Luka 7:
13-15
d)   Mungu
hana tabia ya kusahau,hawaachi,hawapungukii wala hawatupi watoto    watoto wake Zab 94 :14,Kumb 31:8.
Ukisoma maandiko
andiko Isaya16 Tazama, nimekuchora katika viganga vya mikono yangu; kuta zako ziko
mbele zangu daima.
Daudi anasema nalikuwa ni kijana
na sasa ni mzee Zab 37 :25,28).Isa 12:21,1falm 6:13
e)    Ni mzaliwa wa kwanza Ebr 2 :11,Rum 8 :29
2.    Fahamu ulivyo wa thamani mbele za Mungu.
a.    Wewe ni taji ya uzuri mbele za Mungu Isa 62:3
b.    Wewe ni mboni ya jicho la Mungu Zek 2:8
c.    Wewe ni kito au jiwe la thamani linalometa meta Zek 9
:16
d.    Wewe ni hazina ya Mungu –Mal 3 :16-17
e.    Wewe ni mali ya Mungu iliyonunuliwa kwa thamani kubwa 1
cor 7 :23,6:20
f.     Wewe ni Bibi harusi wa Kristo Uf 21: 9,Isa 62:5
3.    Fahamu hakuna jambo gumu kwa Mungu Zek 8 :6,Yer 32 :27
Ø  Usipime uwezo wa Mungu kwa kuulinganisha na
wanadamu,kwake hakuna neno haiwezekani.Hili ni neno la kibinadamu Zek 8:6,Yer
37:17,27 ,Ayubu 42:2,Math 19: 26,Lk 1;37
4.    Magonjwa na umaskini siyo mapenzi ya Mungu kwako kumb
28:15 -28
Yesu alijitoa sadaka kwa ajili yetu na :-.Gal 3:13-14
                                
i.       
Dhambi –Math 26:28,1Pet
2:24
                               
ii.       
Magonjwa na udhaifu
wote –Math 8:14-17,Isa 53:4-5,1Pet 2:24
                              
iii.       
Umaskini -2cor 8:9,1Yoh
3:8,Kut 15:26,Yer 30:17,33:6,Zab 103:3,Yoh 10:10,3 Yoh 1:2.
MUHIMU
Mungu
ana njia za kukufundisha .Hakufundishi kwa kumruhusu shetani akuletee
magonjwa.Mjue mbaya wako kuwa ni shetani Ef 4:27,Yak 4:7,Ay 1:12-16,Ay 2:2,7.
Barikiwa
sana na Mungu wetu aliye hai.
Tutaendelea
sehemu ya pili
Maoni