BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU
                                                                                           Higher Education Students' Loans Board                       cappadocia tours                                                                                                                                                                                                                                                                                     MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016      Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya  Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa  masomo 2015/2016 inapatikana kupitia ukurasa wa maombi kwa njia ya  mtandao olas.heslb.go.tz   Kwa msingi huo, tunakanusha taarifa  zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Mikopo  ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu haitatoa mikopo kwa wanafunzi wanaojiunga  na wanaoendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa  masomo 2015/2016. Mwisho                   ...