Machapisho

Picha
THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION (NACTE) PUBLIC NOTICE MINIMUM ENTRY REQUIREMENTS The National Council for Technical Education (NACTE), would like to inform the Public and other Education stakeholders on the minimum entry requirements to join Basic Technician Certificate (NTA Level 4), which will eventually lead to Ordinary Diploma (NTA Level 6) for successful Candidates. An applicant should possess secondary certificate from National Examinations Council of Tanzania (NECTA) with a minimum of four passes (Four D’s) excluding religious subjects. Holders of foreign certificates should submit to NECTA for equivalence of their awards to Tanzania awards system to enable them to Apply. It should be noted that, the entire process of admission is done via Central Admission System (CAS) . For more information about registration status for Institutions and programmes/ courses offered, kindly visit our website at www.nacte.go.tz . ISSUED BY; THE OFFICE...
Picha
  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu : +255-22-2114512, 2116898 Email : press@ikulu.go.tz Tovuti : www.ikulu.go.tz Faksi : 255-22-2113425 OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa Taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo. KWANZA, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Profesa Godius Kahyarara kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF)....

CHANZO CHA KUPOROMOKA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) jana tarehe 18.02.2016 lilitangaza matokeo ya Mitihani ya kidato cha NNE na kuleta taharuki kwa wadau mbalimbali kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufaulu kwa kupata ufaulu wa chini. Nimesikia watu wengi wakieleza kuwa wanafunzi wengi walikuwa na ufaulu usiostahili wakati walipofanya Mitihani ya kuingia kidato cha tatu mwaka 2013 na hivyo kujikuta wakishindwa kumudu masomo ya kidato cha tatu 2014 na hivyo kutahiniwa kwao kidato cha Nne kulikuwa hakustahili kwa kuwa hawakuweza kumudu hata masomo ya kidato cha kwanza na pili ili kuendelea na kidato cha tatu. Aidha yapo maswali mengi yanayoulizwa kuhusiana na matokeo hayo.Nini kifanyike?     Mitihani ya kidato cha pili iheshimiwe ili kupata wanafunzi wenye kumudu stadi mbalimbali katika nyanja za uchumi,siasa na jamii. Masuala ya Kitaaluma yaendeshwe kitaalamu pasipo kubadilishwa pasipo tija kama ilivyokuwa kutoka Division mara GPA. Suala la michepuo kwa wanafunzi liweke...

Ufaulu kidato cha nne washuka chini | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Ufaulu kidato cha nne washuka chini | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

International Leaders in Education Program | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States

International Leaders in Education Program | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

Higher Education Students' Loans Board cappadocia tours MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016 Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia ukurasa wa maombi kwa njia ya mtandao olas.heslb.go.tz Kwa msingi huo, tunakanusha taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu haitatoa mikopo kwa wanafunzi wanaojiunga na wanaoendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Mwisho ...
NSANA COMPUTING ZONE “ Discovering your Potentialities ” P.O.BOX 2637,MWANZA, PHONE:+255(0) 785 64 51 77 E-mail : nsanacz@gmail.com, Blog:www.nsanacz.blogspot.com OUR SERVICES AND PRODUCTS ·   Internet & E-mail ·   Printing (Colour & Black and White) ·   Photocopy ·   Training (Computer Courses) ·   Project design and Monitoring ·   Building and Developing Skills ·   Online course registration for Colleges and Universities ·   Stationeries ·   Scanning ·   Sending and receiving documents by Electronic means Located at Stand ya Kwanza –Kisesa NSANA COMPUTING ZONE “ Discovering your Potentialities”
Picha
SOMO.NGUVU YA MAONO KATIKA MAISHA YA MKRISTO NA:AYOUB JL UTANGULIZI. Tangu mwanzo Mungu aliwekeza raslimali nyingi za thamani ndani ya mwanadamu kama vile Ufahamu,Ujuzi,ubunifu,Ugunduzi,busara,vipaji mbalimbali,mamlaka,uhai,chanzo cha Baraka.Mwanzo 1:26-30,2:7. Mwanadamu anapozaliwa tayari Mungu anakuwa amekamilisha sehemu kubwa ya uumbaji wa mwili,hivyo anapozaliwa huanza kudhihirisha raslimali hizo katika hali ya upekee tofauti na viumbe vingine. a) Mamlaka ya kumiliki vitu vyote Mwanzo 1:26-30,2:7 b) Kujitambua c) Chanzo au  chemichemi  au  chimbuko la Baraka –Kumb 8:18 Zaidi sana mwanadamu anapookolewa , Mungu huwekeza vitu vingine vya    thamani katika maisha ya mwanadamu.Vitu hivi humfanya Mwanadamu  afanye zaidi ya uwezo wa kuzaliwa nao (uwezo wa kawaida).Raslimali hizo ni a) Huduma,karama na vipawa  1 Kor 12:4-11 b )  Mamlaka ya kumshinda shetani  Lk 10:19, 1 sam 17:40-54 c) Ufahamu wa Ki...

TAFAKARI

Picha
MWENYE HAKI ATAWALAPO WATU HUFURAHI,LAKINI MWOVU AKITAWALA WATU HUUGU (Mith 29:2)

TANZANIA CLASSIC: BAADA YA LIPUMBA KUJIUZULU ,CUF YATOA TAMK...

TANZANIA CLASSIC: BAADA YA LIPUMBA KUJIUZULU ,CUF YATOA TAMK... : Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akitanganza kung'atuka wadhifa wake wa Uenyekiti wa CUF TAARIFA KWA ...

ADMISSIONS FOR ORDINARY DIPLOMA AND TECHNICIAN CERTIFATE

Nacte has closed Admissions from yesterday 18/07/2015 23:59.You will be notified for any changes.

Tanzania | U.S. Agency for International Development

Tanzania | U.S. Agency for International Development

NGUVU YA KUUSHINDA UADUI

Na,AYOUB JL Uadui ni hali inayokua kwa kasi sana kati ya Ndugu,jamaa na washirikia.Hii ni kwa sababu mwanzilishi anajua siri iliyo katika umoja,ushirika,mshikamano na kuishi pamoja kwa umoja.Maisha ya Ushirika yana nguvu kubwa ya kushinda kila dhoruba inayowakabili washirika.Maandiko yanasemaje juu ya umoja. Yohana 17:22-23 " Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao,ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja,............................................" Mdo 4:32 "Na jamii ya watu walioamini walikuwa na moyo mmoja na roho moja,wala hapana mmoja aliyesema ya kuwa kitu chochote alichonacho ni mali yake mwenyewe,bali walikuwa na vitu vyote shirika. Maandiko yanaonesha kuwa Yesu anatamani kuona wanadamu wakiwa katika umoja kama wao walivyo na umoja na Mungu(Yohana 17:22-23) .Haipendezi kuishi maisha ya msuguano wala chokochoko  ni jukumu lako kutafuta kwa bidii maisha ya Amani (Ebr 12: 14) Ni jambo la kupendeza kukaa pamoja kwa umoja (Zab 133:1).Tendo la ndugu (jamii ye...

FIMBO YA MUSA MINISTRY: ISAIDIE ROHO YAKO KUUSHINDA MWILI WAKO (SEHEMU YA ...

FIMBO YA MUSA MINISTRY: ISAIDIE ROHO YAKO KUUSHINDA MWILI WAKO (SEHEMU YA ... : Our Daily Mana UTANGULIZI Hili ni somo linalohusu namna mwanadamu anavyotakiwa kufanya ili aweze kumshinda Ibilisi, mch...

MAZINGIRA YETU

MAZINGIRA YETU Na. AYOUB JL.   MAZINGIRA NI NINI ?    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka vyenye uhai na visivyo na uhai. Vitu vyenye uhai ni pamoja na mimea na wanyama na visivyo na uhai ni pamoja na uhai ni hewa, ardhi na maji. Mazingira yanahusisha pia vitu vyote vinavyosaidia kuendelea kuwepo kwa maisha ya mwanadamu na viumbe wengine. Hivyo basi maisha ya viumbe hai wa kizazi kilichopo na kijacho kinategemea uwepo wa mahusiano mazuri kati ya watu na mazingira. Shughuli za binadamu zimekua kwa kasi sana hususani kilimo,ufugaji,biashara,uchimbaji wa madini,utafutaji wa Nishati na Viwanda.Karibia kila shughuli inaathari chanya au hasi kwa mazingira na viumbe vilivyopo.Ni jambo la muhimu sana kwa kila mmoja kuwa makini katika shughuli ili kuyafanya rafiki kwa kila kiumbe.Mazingira rafiki ni Muhimu sana kwani hutuwezesha kuendelea kuvuna raslimali nyingi zilizofichwa. Hii ni sehemu ya Mazingira ya shule (Nembo ya kuelekea shuleni.) Nitaen...